NA MONICA OKWANY
Mwanamke mwenye umri wa makamo amepewa
kifungo cha miaka mitatu baada ya kuiba mototo wa miaka miwili.
Alipata habari siku mbili baadaye
kwamba mtoto wake alipatikana. Hapo ndipo wananchi walimvamia Bi Irene na
kumpiga na kumjeruhi vibaya.
Aliokolewa na polisi ambao walimpeleka
katika hospitali ya wilaya ya Migori kwa matibabu kabla ya kupelekwa
korokoroni.
Alikubali mashtaka mbele ya hakimu
mkaazi Bw. Edwin Nyaga ambaye alimpa kifungo cha miaka mitatu.

No comments:
Post a Comment